*Wananchi watafanyiwa uchunguzi wa Saratani Bure

Na Mwandishi Wetu

Taasisi ya Saratani Ocean Road katika kuadhimisha siku ya Saratani Duniani ambayo huadhimishwa Februari 4 pamoja huduma ya uchunguzi wa saratani kwa wananchi wote kwenye viwanja vya Zakhiem Mbagala jijini Dar es Salaam.

Mgeni rasmi katika maadhimisho hayo ni Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ambaye atazungumza kuhusiana na hali halisi ya saratani nchini na hatua zilizochukuliwa na serikali katika utoaji wa huduma.

Kwenye maadhimisho hayo uchuguzi utaofanyika utaofanyika uchunguzi wa wa awali saratani ya mlango wa kizazi ,Saratani ya Matiti pamoja na Saratani ya Tezi dume.

Katika maadhimisho elimu itatolewa ya magonjwa yasiyakuambukizwa na kutaka wananchi kushiriki maadhimisho na kupata uchunguzi bure.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...