Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao nchini Tanzania pamoja na Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa katika Sherehe za Mwaka Mpya kwa Mabalozi hao (Diplomatic Sherry Party), Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Februari, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Sherehe za Mwaka Mpya kwa Mabalozi hao (Diplomatic Sherry Party), Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Februari, 2024.Mabalozi wanaowakilisha nchi zao nchini Tanzania wakiwa pamoja na baadhi ya Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa kwenye Sherehe za Mwaka Mpya kwa Mabalozi hao (Diplomatic Sherry Party), Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Februari, 2024.

Mabalozi wanaowakilisha nchi zao nchini Tanzania pamoja na Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa wakiwa kimya kwa dakika moja kumuombea Rais wa Namibia Hayati Dkt. Hage Geingob wakati wa Sherehe za Mwaka Mpya kwa Mabalozi hao (Diplomatic Sherry Party), Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Februari, 2024.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. January Makamba akiwa na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao Tanzania kwenye Sherehe za Mwaka Mpya kwa Mabalozi hao (Diplomatic Sherry Party), Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Februari, 2024.
Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye Sherehe za Mwaka Mpya kwa Mabalozi hao (Diplomatic Sherry Party), Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Februari, 2024.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...