Mchezo kati ya Atletico de Madrid dhidi ya klabu ya Inter Milan kutoka nchini Italia utakua mchezo mkali sanaambao utapigwa usiku wa leo hatua ya 16 bora yaligi ya mabingwa ulaya.

Mbali na ubora wa vilabu hivi ila vita kubwa itakua ni vita yakimbinu baina ya makocha wawili wa vilabu hivo kocha Diego Simeone wa Atletico Madrid na Simeone Inzaghi wa Inter Milan,Makocha hao wanatumia wote watumia mfumo wa 3-5-2 kwenye kupangilia timu zao jambo ambalo linafanya mchezohuu kua mgumu zaidi. 

Mchezo huu mkali upo pale kwenyetovuti ya Meridianbet na umepewa ODDS KUBWA.
Mchezo wa kwanza baina ya timu hizo ulipigwa pale katikadimba la Giussepe Meazza wiki mbili zilizopita, Huku Inter wakichomoza na ushindi wa goli moja kwa sifuri hivo leoAtletico watahitaji kupata ushindi wa kuanzia mabao mawilikwa bila ili waweze kusonga mbele.

Mchezo huu unatarajiwa kua wenye ushindani mkubwa kwanivilabu vyote vina uwezo wa kusonga mbele katika hatuainayofuata, Lakini pia aina ya uchezaji wa vilabu hivo inafananapia hii inachangia mchezo kua mgumu zaidi baina ya vilabuhivo.

Suka mkeka wako kwenye michezo mikali itakayopigwa leokwenye ligi ya mabingwa Ulaya Machaguo zaidi za 1000 yapohuku lakini vile vile Turbo Cash pia ipo. Unasubiri nini sasa?Ingia meridianbet na ubashiri sasa.`

Mchezo mwingine mkali wa ligi ya mabingwa ulayautakaopigwa leo utakua kati ya Borussia Dortmund ambaowatakua nyumbani pale Signal Iduna Park dhidi ya PSV Eindhoven, Mchezo huu pia upo wazi kwa yeyote kufuzu hatuaya robo fainali kwani mchezo wa kwanza ulimalizika kwa sareya goli moja kwa moja.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...