WAKATI ambao sakata la Prince Mpumelelo Dube likipamba moto pale viunga vya Azam Complex, pale Msimbazi mambo sio mambo, Jangwani wao wanakula upepo kwenye kilele cha Ligi Kuu ya NBC. Kila mtu Analia na kucheza ngoma kivyake.

Wikiendi hii kuna michezo kadhaa ya Ligi kuu ya NBC itaendelea katika mikoa mbalimbali, Simba atakipiga na Wagosi wa Kaya Coastal Union kwenye dimba la Mkwakwani Tanga, Azam FC na wababe wengine watakuwa dimbani kuzisaka alama tatu muhimu. Kazi yako ni moja tu saka maokoto bila kuchoka kwa kubashiri michezo hii kwa odds kubwa kwenye maduka ya ubashiri ya Meridianbet au kwa njia ya mtandao.

Kuifanya wikiendi yako iwe njema yenye burudani, Meridianbet wametanga kutoa bonasi za ubashiri kwa washindi 10 kila siku watakaobeti mechi za Ligi kuu ya NBC kwenye majamvi yao.
Jinsi ya kupata Bonasi ya Ubashiri.


· Bashiri mechi za ligi kuu ya Tanzania NBC wikiendi hii kuanzia tarehe 08.03.2024 mpaka 10.03.2024 ujiwekee nafasi ya kushinda vocha za Bonasi ya Michezo.

· Kadiri unavyocheza ndivyo unavyoongeza nafasi yako ya kushinda vocha ya Bonasi ya michezo.

· Kila siku wachezaji 10 wenye bahati watajipatia 25,000 TSH Bonasi ya Vocha

· Jumla ya zawadi ya bonasi kwenye promosheni hii ni 750,000 TSH

· Tiketi ni lazima iwe na mechi 3 au zaidi, ambapo mechi moja au zaidi ni lazima iwe ya ligi kuu ya Tanzania NBC.

· Promosheni hii ni halali kwa watumiaji wote waliojisajili na meridianbet.co.tz.

· Haifai kwa tiketi zilizochezwa na pesa ya bonasi.

· Haifai kwa tiketi zilizocheza kupitia pesa ya turbo.

· Promosheni hii ni halali kwa tiketi za kawaida zilizochezwa kwenye bashiri za kawaida.

NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...