LEO hii kipute cha Ligi ya mabingwa barani Ulaya kinaendelea kwa michezo ya marudiano ambapo kuna timu zinataka kupindua meza na zingine zinatafuta sare kufuzu hatua ya Robo fainali.

Leo hii kutakuwa na mechi ya kisasi kabisa ambapo Bayern Munich chini ya kocha mkuu Thomas Tuchel watakuwa Allianz kusaka ushindi mbele ya Lazio ya Maurizo Sarri ambaye mechi ya kwanza alishinda bao 1-0. Meridianbet wamempa Munich nafasi kubwa ya kushinda mechi hii akiwa na ODDS 1.25 kwa 10.78.

Ikumbukwe kuwa Bayern ametoka kutoa sare mechi yake iliyopita ya ligi akiwa ugenini huku akiwa na nafasi ndogo ya kuchukua kombe hilo la Bundesliga. Pia Thomas Tuchel ana presaha kubwa sana ambapo asiposhinda mechi hii ya leo ya kufuzu robo fainali mabmbo yatazidi kuwa magumu kwake. Je nani kwenda hatua inayofuata ligi ya mabingwa. Beti hapa.

Kumbuka sio kubashiri tuu, cheza pia michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman, Keno, Sloti na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Mechi nyingine hii leo yenye maokoto kibao ndani ya meidianbet ni hii hapa ambayo inawakutanisha wenyeji Real Sociedad kutoka Hispania dhidi ya PSG ya Ufaransa, huku mara ya kwanza vijana wa Enrique waliondoka na ushindi wa mabao 2-0 hivyo mlima upo juu kidogo. Mwenyeji kushinda mechi hii amepewa ODDS 2.30 kwa 2.99.

Ikumbukwe kuwa PSG haijawahi kuchukua kombe hili huku mara ya mwisho walipoteza fainali mbele ya Munich. Je Enrique anaweza akawapeleka wapi Paris msimu huu ambao ndio vinara wa ligi kule Ligue 1? Jisajili na ubashiri sasa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...