Kamati ya kudumu ya Bunge Utawala , Katiba na Sheria imeipongeza serikali ya awamu ya sita kwa kupeleka pesa katika miradi yenye tija kubwa ya Watu kupitia mfuko wa TASAF baada ya kukagua mradi wa Stendi ya Mabasi Peramiho na Soko la Bidhaa mbalimbali, Madaba.

Akizungumza mbele ya wananchi Mwenyekiti wa Kamati hiyo aliwashukuru sana serikali kwa miradi hiyo uku akieleza furaha ya Kamati baada ya kupitia miradi hiyo.

Mapema akimkaribisha Mwenyekiti wa kamati, Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ndg. Ridhiwani Kikwete alimshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano Mh. Samia Suluhu Hassan kwa kuwezesha fedha kiasi cha shilingi Bilioni 1.5 ambazo zimewezesha miradi mbalimbali katika Mkoa wa Ruvuma pekee kupitia TASAF.





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...