Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa kwenye Dua Maalum iliyoandaliwa na Wanawake wa Kisiwani Pemba kwa ajili ya kumuombea iliyofanyika katika Uwanja wa Tibirizi Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba tarehe 25 Machi, 2024.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wanawake wa Kisiwani Pemba wakati wa Dua Maalum ya kumuombea iliyoandaliwa na Wanawake hao iliyofanyika katika Uwanja wa Tibirizi Chakechake tarehe 25 Machi, 2024.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...