Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa Mikocheni nyumbani kwa baba yake akiendelea kupokea mkono wa pole kutoka kwa Rais Mstaafu Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi, ndugu, jamaa na marafiki kufuatia kifo cha Rais Mstaafu Mzee Ali Hassan Mwinyi kilichotokea jana Februari 29, 2024.Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...