RATIBA YA KUAGA MWILI WA HAYATI ALI HASSAN MWINYI, RAIS
MSTAAFU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
UWANJA WA UHURU - DAR ES SALAAM
IJUMAA TAREHE 01 MACHI, 2024
Muda |
Tukio |
Mhusika |
Saa
06.00 - 06.40 Mchana |
Mwili
wa Hayati kutoka Nyumbani, Mikocheni na kuwasili Msikiti Mkuu wa Bakwata – (Mfalme
Mohamed IV), Kinondoni |
Kamati
ya mazishi ya Kitaifa |
Saa
06.40 – 07. 30 Mchana |
Swala |
Kamati
ya mazishi Kitaifa |
Saa
07.30 – 08. 10 Mchana |
Mwili
wa Hayati kuondoka Msikitini, Kinondoni na kuwasili Uwanja wa Uhuru |
Kamati
ya mazishi Kitaifa |
Saa
08.10 – 08. 30 Mchana |
Dua
na Sala |
Kamati
ya mazishi Kitaifa |
Saa
08.30 – 09. 00 Mchana |
Viongozi
kutoa salamu za rambirambi |
·
Mhe. Albert
Chalamila, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ·
Mhe. Jenista
Mhagama (Mb), Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - SBU ·
Mhe.
Joseph Sinde Warioba, Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais Mstaafu
|
Saa
09.00 – 09. 30 Mchana |
Viongozi
kutoa heshima za Mwisho |
Kamati
ya mazishi Kitaifa |
Saa
09.30 – 11.00 Jioni |
Wananchi
kutoa heshima za mwisho |
Kamati
ya Mazishi Kitaifa |
Saa
11.00 – 11.30 Jioni |
Mwili
wa Hayati kuondoka Uwanja wa Uhuru na kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa
wa Julius Nyerere |
Kamati
ya mazishi Kitaifa |
Saa
11.30 – 12.00 Jioni |
Mwili
wa Hayati kuruka na Ndege kwenda Zanzibar |
Kamati
ya mazishi Kitaifa |
Saa
12.00 – 12.30 Jioni |
Mwili
wa Hayati Kuwasili Zanzibar |
Kamati
ya mazishi Kitaifa |
Saa
12.30 – 01.00 Jioni |
Mwili
wa Hayati Dkt. Ali Hassan Mwinyi kuwasili Nyumbani Bweleo |
Kamati
ya mazishi Kitaifa |
Saa
01.00 – 04.00 Usiku |
Maombolezo |
Familia |
RATIBA YA MSIBA WA HAYATI ALI HASSAN MWINYI, RAIS
MSTAAFU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
UWANJA WA AMANI, ZANZIBAR
JUMAMOSI, TAREHE
02 MACHI, 2024
Muda |
Tukio |
Mhusika |
Saa
01.00 - 02.00 Asubuhi |
Mwili
wa Hayati kuondoka nyumbani na Kwenda Msikiti wa Qaboss |
Kamati
ya mazishi Kitaifa |
Saa
2.00 - 02.30 Asubuhi |
Viongozi mbalimbali kuwasili |
Kamati
ya Mazishi Kitaifa |
Saa
2.00 – 02.30 Asubuhi |
Swala |
Kamati
ya Mazishi Kitaifa |
Saa
02.30 - 03.00 Asubuhi |
Mwili
wa Hayati kuondoka Msikiti na kuwasili Uwanja wa Amani |
Kamati
ya Mazishi Kitaifa |
Saa
03.00 - 03.20 Asubuhi |
Dua |
Kamati
ya Mazishi Kitaifa |
Saa
03.20 - 07.00 Mchana |
Wananchi
kutoa heshima za Mwisho |
Kamati
ya Mazishi Kitaifa |
Saa
07.00 - 07.20 Mchana |
Dua |
Kamati
ya Mazishi Kitaifa |
Saa
07.20 - 07.50 Mchana |
Viongozi
kutoa salamu za rambirambi |
|
Saa
07.50 - 08.00 Mchana |
Salamu
za familia |
Kamati
ya Mazishi Kitaifa |
Saa
08.00 - 08.10 Mchana |
Salamu
za Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Mazishi na Kumkaribisha Mheshimiwa Rais
kutoa salamu za pole |
Mhe.
Kassim M. Majaliwa (Mb), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti
wa Kamati ya Kitaifa ya Mazishi |
Saa
08.10 - 08.40 Mchana |
Salamu
za Viongozi Wakuu wa Nchi |
|
Saa
08.40 - 09.10 Mchana |
Viongozi
kutoa heshima za Mwisho |
Kamati
ya Mazishi Kitaifa |
Saa
09.10 - 09.30 Mchana |
Mwili
wa Hayati kuondoka Uwanja wa Amani na kuwasili Mangapwani |
Kamati
ya Mazishi Kitaifa |
Saa
09.30 - 09.40 Mchana |
·
Wimbo wa Taifa ·
Wimbo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki |
JWTZ
Brass band |
Saa
09.40 – 10.00 Jioni |
Mazishi
ya Kiserikali |
Kamati
ya mazishi ya Kitaifa |
Saa
10.00 – 10.20 Jioni |
Mazishi
ya Kidini |
·
Kamati ya mazishi ya Kitaifa ·
Familia |
Saa
10.20 – 10. 30 Jioni |
Wasifu
wa Hayati Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania |
Bw.
Juma Mkomi, Katibu Mkuu – UTUMISHI |
Saa
10.30 – 11.00 Jioni |
Viongozi
mbalimbali na wananchi kuondoka eneo la msiba |
Kamati
ya mazishi Kitaifa |
Saa 11.00 Jioni |
MWISHO |
|
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...