HAYA Haya ni takribani wiki imeisha tangu kutambulishwa kwa mchezo mpya wa kasino ya mtandaoni pale Meridianbet, unaitwa Super Heli kwa ripoti zilizopo mchezo huu ni miongoni mwa michezo 10 pendwa inayoongoza kwa watu kuicheza.

Waliotengeneza mchezo huu ni kampuni ya Expnase studios na kisha Meridianbet ikachukua jukumu la kuuleta kiganjani kwako, na kukupa ofa rahisi ya kuucheza kwa dau dogo kabisa.

Kuwa moja kati ya mamia ya washindi wa kila siku kwenye mchezo huu wa kasino ya mtandaoni kwa kujisajili na Meridianbet.

Super Heli ni mchezo wa Kasino ya Mtandaoni unaotoa nafasi kwa wachezaji wa kasino kutumia dau dogo kuanzia 100/= TZS huku ukifurahia safari ndefu yenye odds nyingi zenye thamani kubwa ya ushindi.

Mapokeo yamekuwa ni makubwa Zaidi kwa watanzania na wapenzi wa michezo ya kasino ya mtandaoni, kwani mamia kwa maelfu hucheza mchezo huu na kuibuka na ushindi mkubwa. Licha ya michezo mingi yenye bonasi za kasino kuna chaguo jingine la kushinda kwa kubashiri michezo mingi ambapo, Meridianbet wanaotoa odds kubwa na machaguo 1000+

Jaribu Super Heli na kusonga hadi mamilioni!
Super Heli ni mchezo wa kasino mtandaoni kutoka kwa Expanse Studios. Katika mchezo huu, utapata bonasi kubwa. Kuna malipo ya pesa taslimu papo hapo, na hata mizunguko ya bure.

Mchezo huu wa kasino mtandaoni unataka kufanana na ule mchezo pendwa namba moja Aviator, kama unaufahamu mchezo huu basi Super Heli haitakusumbua utofauti ni ukomo wad au la kucheza na muonekana hali wa mchezo huu wa kasino ya mtandaoni umeboreshwa Zaidi.

Usikubali kupitwa na burudani hizi kutoka Meridianbet Kasino. Jisajili na ucheze sasa Super Heli kasino.

NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...