Waziri wa Mambo ya Nje na Biashara wa Hungary, Mhe. Péter Szijjártó amewasili nchini kwa ziara ya kikazi ya siku mbili tarehe 27 na 28 Machi 2024.
Kwenye Uwanja wa Ndege wa JNIA alipokelewa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Said Shaib Mussa.
Wengine walioshiriki katika mapokezi hayo ni Mkurugenzi Idara ya Ulaya na Amerika, Balozi Swahiba Mndeme; Mkurugenzi wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali, Balozi Mindi Kasiga; Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Ulaya na Amerika, Bw. Gerald Mbwafu pamoja na Afisa Ubalozi wa Tanzania nchini Hungary mwenye makazi yake nchini Ujerumani, Bi. Angela Ngailo.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...