Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi akitoa pole kwa Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Rukwa, Auerelia Kanyengele ambaye amefiwa na mtoto wake, Ignatusi Kanyengere, aliyefariki kwa ajali hivi karibuni. Katibu Mkuu Balozi Dk Nchimbi na ujumbe wake, yuko katika ziara ya siku mbili mkoani Rukwa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...