IKIWA leo hii ni Jumamosi nyingine na tulivu kabisa, Meridianbet wanamkwambia leo ndio siku ya kupiga pesa kirahisi sana kwani huku kuna kila kitu kuanzia ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000, Ingia na ubeti sana.

Tukianza na EPL leo hii mitanange ni ya kutosha, Fulham atakiwasha dhidi ya Crystal Palace ambaye ameshinda mechi tatu mfululizo. Timu hizi hazijatofautiana sana kwenye ligi kwani vijana wa Craven Cotage wapo nafasi ya 13 na Palace wapo nafasi ya 14. Mechi hii imepewa ODDS 2.13 kwa 3.33. Beti hapa.

Nao Newcastle United baada ya kupoteza mechi yake iliyopita, atakuwa nyumbani kukiwasha dhidi ya Sheffield United ambao ndio vibonde wa ligi hadi sasa. Mechi ya kwanza walipokutana, vijana wa Howe walishinda kwa kishinda. Je leo hii Sheffiel wanaweza kulipa kisasi?. Suka mkeka wako hapa.

Kumbuka kucheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman, Keno, Sloti na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Manchester United baada ya kushinda mechi yake iliyopita, watakuwa Old Trafford kumenyana dhidi ya Burnley ambao wapo nafasi ya 19 hadi sasa. United ya Ten Hag imepewa ODDS 1.54 kwa 4.90. Tofauti ya pointi kati yao ni 30. Jisajili sasa.

Mechi ya mwisho ligi kuu ya Uingereza ni hii hapa ya Aston Villa dhidi ya Chelsea ambao wametoka kupokea kipondo cha maana. Vila wameshinda mechi yake iliyopita huku meridianbet wakimpa nafasi kubwa ya kushinda mechi hii kwa ODDS 2.10 kwa 3.04. Bashiri sasa.

Vilevile ligi kuu ya Hispania, LALIGA kuna mechi kibao za kukupa pesa Almeria atashuka dimbani majira ya 11:15 kukiwasha dhidi ya Getafe ambao wapo nafasi ya 10 kwenye msimamo wa ligi. Mwenyeji anashika mkia huku akipewa ODDS 2.69 kwa 2.69. Unampa nani ushindi leo?. Tengeneza jamvi sasa.

Deportivo Alaves atapepetana dhidi ya RC Celta Vigo huku timu zote zikiwa zimetoka kushinda mechi zao zilizopita. Mwenyeji yupo nafasi ya 14 na mwgeni yupo nafasi ya 17. Mechi hii inba machaguo zaidi ya 1000. Ingia na ubashiri sasa mechi hii.

Saa 4:00 Atletico Madrid atakipiga dhidi ya Athletic Bilbao huku timu hizi zikiwa zinafatana kwenye lifi. Vijana wa Diego Simeone wapo nafasi ya 4 huku Bilbao akiwa nafasi ya 5. Wametofautiana pointi 3. Je leo nani ataondoka na ushindi. Suka mkeka wako leo. Mechi hii imepewa ODDS 1.91 kwa 3.92. Beti sasa.

SERIE A kitawaka pia ambapo US Lecce atapepetana dhidi ya AC Monza ambapo mechi ya kwanza walipokutana walitoa sare. Mwenyeji yupo nafasi ya 13 na mgeni yupo nafasi ya 11. Mechi hii imepewa ODDS 1.96 kwa 4.01. Ingia na ubashiri mechi hii na meridianbet.

Saa 1:00 usiku Juventus atakipiga AC Milan ambao wametoka kupoteza mechi yao iliyopita lakini timu hizo zinafatana sana kwenye ligi Juve ni wa tatu na Milan ni wa 2. Meridianbet wamempa Allegri na vijana wake ushindi kwa ODDS 2.09 kwa 3.57. Jisajili hapa.

Pia Lazio atakuwa mwenyeji wa Hellas Verona majira ya saa 3:45 usiku ambapo mwenyeji akiwa nafasi ya 7 na mgeni akiwa nafasi ya 15. Toafuti ya pointi kati yao ni 21 huku nafasi kubwa ya kushinda ni ya mwenyeji akiwa na ODDS 1.62 kwa 5.48. Bashiri sasa.

BUNDESLIGA nayo leo kitaeleweka ambapo majira ya saa 10:30 RB Leipzig atamkaribisha Borussia Dortmund katika dimba la Red Bull Arena na timu hizo zinatofautiana pointi mbili, mwenyeji ni wa 4 na mgeni ni wa 5. Mechi ya mwisho kukutana RB alishinda. Je leo hii nani ataibuka na ushindi kwa ODDS ya 1.56 kwa 4.90.

Huku SC Freiburg atamenyana dhidi ya VFL Wolfsburg ambao wametoka kushinda mchezo wao ambao ulipita. Mwenyeji yupo nafasi ya 7 na mgeni yupo nafasi ya 13. Mechi hii imepewa ODDS 2.28 kwa 2.99. Suka mkeka wako hapa.

FC Bayern Munich atamenyana dhidi ya Eintracht Frankfurt ambao wapo nafasi ya 6. Thomas Tuchel anaingia uwanjani huku vijana wake wakikumbuka kiipigo walichokipata kwenye mechi ya kwanza. 1.42 kwa 6.07 ndio ODDS za mechi hii. Je mwenyeji atalipa kisasi leo? Ingia na ubashiri sasa.

Saa 1:30 usiku Bayer Leverkusen atakipiga dhidi ya VFB Stuttgart ambao wamekuwa na mwenendo mzuri msimu huu. Mechi itapigwa kwenye dimba la BayArena huku akiwa tayari ni bingwa wa ligi. Mechi ya kwanza walitoa sare. Je leo hii itakuwaje? Alonso ataendeleza UNBEATEN yake? Beti sasa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...