*Deuces Wild Poker
KARATA moja ya mchezo bomba kabisa na rahisi kuucheza kama ukituliza akili, ule usemi wa changa karata zako vizuri una maana kubwa sana kwenye mchezo huu wa kasino ya mtandaoni uliopo Meridianbet. Unapoanza kuucheza hakikisha karata zako umezichanga vizuri na kisha subiri mchezeshaji ajichanganye umpune. Jisajili Meridianbet uwe wa kwanza kufurahia promosheni na bonasi za kasino buree.

Jinsi ya Kucheza Sloti ya Deuces Wild Poker
Unapoanza kuucheza mchezo huu wa kasino ya Mtandaoni. Hutakiwa kuwa na mawazo mengi ni kitendo cha kutuliza akili na kuwaza ni namna gani utakula karata za mchezaji wa Deuces Wild Poker, hata kwa wale wanaoanza kucheza kasino wana nafasi kubwa tu ya kushinda.

Hatua ya kwanza: Chagua idadi ya mizunguko unayotaka kucheza, unaweza kuchagua kati ya 1, 5, 10, 50 au 100. Baada ya kuchagua mizunguko, utapelekwa moja kwa moja kwenye mchezo na utaweza kuchagua kiasi cha sarafu “coin” unazotaka kucheza, ni kuanzia 1 mpaka 5 lakini kila mstari huwa na kiwango chake cha sarafu. Weka dau kubwa ili kushinda ushindi mkubwa Zaidi unapocheza sloti hii ya kasino ya mtandaoni.

Ili kuanzisha mchezo huu wa kasino ya mtandaoni, unatakiwa kubonyeza kitufe cha "Deal" ambacho kitakupa karata tano mkononi, unaweza kuchagua zile za kucheza na zile za kuzihifadhi kwa mzunguko unaofuata. Meridianbet kasino ya mtandaoni kwa kushirikiana na Habanero wamekupa chaguo la “Auto Hold” ambalo linakusaidia kuchagua karata za kuhifadhi pembeni kwa matumizi ya baadae ya sloti hii.

Bila kusahau kasino ya mtandaoni hii Deuces Wild Poker inatoa nafasi kwa wachezaji kushinda mpaka mara 250 ya dau linalotumika kucheza. Ingia mchezoni na hatojutia kuijachagua kasino ya mtandaoni ya Meridianbet.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...