KAMPUNI bingwa kabisa ya michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet imeing’arisha kata ya Makongo jijini Dar-es-salaam baada ya kufika kwenye eneo hilo na kutoa vifaa vya usafi.

Mara kwa mara mabingwa hao wa michezo ya kubashiri wamekua wakihakikisha wanarudisha fadhila kwenye jamii yao ambayo imewazunguka, Leo imekua ni zamu ya eneo la Makongo jijini Dar-es-salaam ambao ndio wamekua wanufaika.

Meridianbet wamegawa matoroli, Mafagio, pamoja na Reflectors kwajili ya kuhakikisha wanaimarisha usafi katika eneo hilo la Makongo kata ya Mlalakua, Hili limekua zoezi endelevu kua kwa kampuni hiyo katika kuhakikisha wanaiunga mkono serikali katika juhudi za kuweka mazingira safi.

Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Masoko kutoka Meridianbet Bi Nancy Ingram ndio aliyeongeza zoezi hilo zima la ugawaji wa vifaa hivo”Kwanza kabisa nishukuru kwa mapokezi yenu mazuri mliyotupatia, Lakini jambo muhimu zaidi ni kuja hapa kugawa vifaa hivi vya usafi kwajili ya kuhakikisha usafi unaimarishwa mara dufu na hii tunaungana na serikali yetu pendwa ambayo inapambana kuhakikisha mazingira yapo safi”

Suka mkeka wako kwenye michezo mikali itakayopigwa leo kwenye michuano ya Uefa Europa League na Uefa Conference League. Machaguo zaidi za 1000 yapo huku lakini vile vile Turbo Cash pia ipo. Unasubiri nini sasa? Ingia meridianbet na ubashiri sasa.`

Wakati huohuo wakazi wa eneo hilo wameonekana kufurahishwa na jambo ambalo limefanywa na uongozi wa Meridianbet, Huku moja ya viongozi wa eneo hilo akitoa shukrani zake za dhati kwa mabingwa hao wa kubashiri na kutoa wito wa makampuni mengine kuiga mfano wa Meridianbet.Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...