Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye  akipongezwa baada ya kuawsilisha  kiufasaha tena kwa muda mfupi makadirio ya Bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka 2023/2024 bungeni Dodoma leo Mei 19, 2023, kiasi cha kusifiwa na Naibu Spika, Mhe. Mussa  Azan Zungu. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...