Jiandae kwa mshangao wa kustaajabisha Meridianbet kasino ya mtandaoni wiki hii, una siku 5 tu za kujichukulia maokoto kuanzia leo. Jiunge na promosheni ya Cash Days na shinda zawadi za pesa kibao kiwango cha Tsh Milioni Mia Mbili (200,000,000/= TZS).
Mwezi Mei ni mwezi wa wafanyakazi, Kubeti na kucheza kasino ya mtandaoni nayo ni kazi kama kazi nyingine, Meridianbet imeandaa zawadi nzuri kwa wachezaji wote. Ikiwa wewe ni shabiki wa michezo ya sloti, na kasino ya mtandaoni tunakualika kujumuika na michezo ya Playson na kuwa sehemu ya promosheni ya Cash Days!
Promosheni hii imeanza tarehe 1 hadi tarehe 8 Mei, ikiwa na zawadi yenye thamani ya 200,000,000/=TZS Cheza angalau angalau mzunguko mmoja kwa dau la chini la kuanzia Tsh 500/= au zaidi ili kuingia moja kwa moja kwenye mashindano.
Kila ushindi unachangia kufanikiwa kwako kwa jumla. Kila unapopata ushindi unaouzidi €1, unapata pointi zinazokusukuma kwenye jedwali la wachezaji bora.
Jumla ya zawadi zitagawiwa kwa wachezaji 201! Na ikiwa utakuwa bingwa wa Cash Days, utajishindia zawadi kubwa ya Tsh 25,000,000/=
Michezo inayoshiriki kwenye promosheni ni:
3 Magic Lamps: Hold and Win
3 Pots Riches Extra: Hold and Win
Arizona Heist: Hold and Win
Book of Gold: Multichance
Buffalo Power 2: Hold and Win
Buffalo Power: Hold and Win
Burning Fortuneteller
Burning Wins: classic 5 lines
Coin Strike: Hold and Win
Crown and Diamonds: Hold and Win
Crystal Land 2
Diamonds Power: Hold and Win
Energy Joker: Hold and Win
Energy Coins: Hold and Win
Fire Coins: Hold and Win
Fire Temple: Hold and Win
Jelly Valley
Legend of Cleopatra Megaways™
Lion Gems: Hold and Win
Luxor Gold: Hold and Win
Pirate Chest: Hold and Win
Royal Coins 2: Hold and Win
Royal Fortunator: Hold and Win
Royal Joker: Hold and Win
Sherwood Coins: Hold and Win
Solar Queen
Sunny Fruits 2: Hold and Win
Clover Charm: Hit the Bonus™
Thunder Coins: Hold and Win
Je, uko tayari kwa promosheni bora ya kasino ya mtandaoni itakayokufanya ujipatie mamilioni? Jiunge na Meridianbet njia rahisi ya mafanikio.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...