



Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Awamu ya Nne Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete akiwa kwenye Mkutano wa Kuadhimisha Miaka 20 ya Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika (AU) uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 25 Mei, 2024.
Rais Mstaafu wa Burundi Mhe. Domitien Ndayizeye akiwa kwenye Mkutano wa Kuadhimisha Miaka 20 ya Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika (AU) uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 25 Mei, 2024.
Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Dkt. Moses Kusiluka akiteta jambo na Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhandisi Zena Said wakati wa Mkutano wa Kuadhimisha Miaka 20 ya Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika (AU) uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 25 Mei, 2024.
Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhandisi Zena Said akiwa kwenye Mkutano wa Kuadhimisha Miaka 20 ya Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika (AU) uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 25 Mei, 2024.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...