KUNA safari nyingine ya kupendeza kwenye mashine ya kuchezea ambayo itakupitisha hadi kwenye historia Misri ya kale. Furahia safari kamili ya mwezi na ushinde maokoto ambayo yatakuwa gumzo kwa muda mrefu. Jisajili Meridianbet kuna mstari mdogo sana wa umaskini na utajiri.

"Moon of Thoth" ni mchezo wa kasino ya mtandaoni unaotolewa na watengenezaji wa michezo ya Gamevy. Katika mchezo huu, utapata aina kadhaa za bonasi za kasino. Utajipatia furaha na alama zilizochaguliwa, na mizunguko ya bure.

Sloti hii ya Kasino ya Mtandaoni ina safu tano zilizowekwa katika mistari mitatu na ina mistari 10 ya malipo. Ili kupata faida yoyote, lazima uunganishe alama tatu au zaidi zinazofanana kwenye mstari wa mmoja wa malipo.

Mchanganyiko wowote wa kushinda, isipokuwa ule wa alama maalum, huzingatiwa kutoka kushoto kwenda kulia kuanzia safu ya kwanza upande wa kushoto.

Kila mstari wa malipo unalipa faida moja. Ikiwa una mchanganyiko wa kushinda zaidi ya mmoja kwenye mstari mmoja wa malipo, utalipwa mchanganyiko na thamani kubwa zaidi. Unaweza kuunganisha ushindi kama unavyopenda kwenye mistari ya malipo zaidi ya moja wakati huo huo.

Katika sanduku la Bet, kuna mshale wa kushoto na kulia ambao unatumika kuweka thamani ya dau kwa kila mzunguko. Pia kuna kipengele cha Autoplay ambacho unaweza kuamsha wakati wowote. Kupitia kipengele hiki, unaweza kuweka idadi kubwa Zaidi ya mizunguko ya kasino.

Ikiwa unapenda mchezo wa haraka, unaweza kuamsha pindua za haraka kwa kubofya sanduku lenye picha ya umemeCheza sasa mchezo huu wa kasino ya mtandaoni kujiweka karibu Zaidi na utajiri.

Alama za Ushindi Kwenye Mchezo Huu wa Kasino ya Mtandaoni "Moon of Thoth"

Linapokuja suala la alama za mchezo huu wa sloti ya kasino ya mtandaoni, thamani ya chini kabisa unaipata kwenye mawe yaliyo na alama za K, Q, na A. utaona misalaba miwili moja ya dhahabu na nyingine ya fedha.

Ndege na piramidi zinaleta malipo sawa. Ukishinda alama tano hizi katika mchanganyiko wa kushinda, utapata mara 7.5 zaidi ya dau lako.

Jicho la Misri ni alama inayofuata kwa thamani ya malipo. Ikiwa unaunganisha alama tano katika mchanganyiko wa kushinda, utapata mara 10 zaidi ya dau lako.

Alama ya msingi zaidi ya mchezo ni mdudu wa Misri, skarab. Ukishinda alama tano kama hizi kwenye mstari wa malipo, utapata mara 20 zaidi ya dau lako.

Joker ameonyeshwa kama nembo ya Wild. Anabadilisha alama zote isipokuwa zile maalum, na kuwasaidia kuunda mchanganyiko wa kushinda. Joker ana nguvu sawa na alama ya skarab.

Bonasi za Kasino.
Alama zote za mchezo huu wa kasino ya mtandaoni zinaweza kuonekana na taji la mwanga kwenye alama hizo. Ikiwa alama 10 za namna hii zitatokea kwenye safu, utapata malipo ya pesa haraka.

Utapokea malipo makubwa sana ikiwa alama 14 za mwanga zitaonekana kwenye safu utapata mara 500 zaidi ya dau lako au zikijitokeza alama 15 za mwanga, unapata mara 5,000 zaidi ya dau lako.

Scatter inaonyeshwa kama nembo ya Bonus. Alama tatu au zaidi za aina hii kwenye safu zitazindua mizunguko ya bure.

Kila scatter itabadilishwa kuwa nambari kati ya moja na tisa, na jumla ya nambari hizi ni sawa na idadi ya mizunguko ya bure unayopata. Wakati wa mizunguko ya bure, jokeri na kipimo cha mshindi huonekana. Wanapotokea kwenye safu, watabaki hapo hadi mwisho wa mchezo huo, lakini kila mzunguko wanabadilisha nafasi yao.

Alama za bonasi zinaweza kuwa na thamani za pesa za nasibu au jackpots. Ikiwa alama sita au zaidi za namna hii zitatokea, utazindua Bonasi ya Gamble na kuongeza ushindi wako mara mbili Zaidi.

Kisha, kwenye safu, zitaonekana alama za bonasi tu, na utapata nafasi tatu Ikiwa utafanikiwa, idadi itarejeshwa kwa aina tatu. Huku thamani za Jackpot ni kama ifuatavyo: Mini - x100 Minor - x200 Major - x500 Grand - x1,000

NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...