JUMAPILI ya leo tutashuhudia mitanange kibao ambayo itamalizika kuanzia kule, Hispania, Italia na kwingineko. Huku Meridianbet wao wanakwambia piga pesa sasa huu ndio ndo wakati wako.
Tukianza na ligi kuu ya Hispania, LALIGA leo hii mechi za ligi zinakamilika saa 11:15 jioni Celta Vigo atakuwa mwenyeji wa Valencia ambapo nafasi ya kuibuka na ushindi leo hii akipewa mwenyeji kwa ODDS 1.86 kwa 4.11. Mara ya mwisho walipokutana walitoshana nguvu. Je leo nani ni nani?. Beti na Meridianbet.
UD Las Palmas atakipiga dhidi ya Deportivo Alaves huku tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni sita pekee. Mechi hii imepewa ODDS 2.42 kwa 2.84. Wewe unamumani nani akupe maokoto ndani ya Meridianbet?. Suka mkeka wako hapa.
Majira ya saa 4:00 usiku FC Barcelona atakuwa ugenini kumaliza ligi dhidi ya Sevilla ambao wamepoteza mchezo wao uliopita. Barca ambao wamemtimua aliyekuwa kocha wao Xavi kushinda mechi hii wamepewa ODDS 1.79 kwa 3.92. Jisajili hapa.
Ligi mbalimbali zikiwa zinamalizika, kumbuka kucheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman, Keno, Sloti na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.
Italia kama kawaida SERIE A kitawaka haswa haswa saa 1:00 usiku Atalanta chini Gasperini watakuwa nyumbani dhidi ya Torino ambao wapo nafasi ya 9 na tofauti ya pointi kati yao ni 13. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 Meridianbet. Beti sasa.
Nao Napoli ambao wamekuwa na msimu mbaya watakuwa katika dimba lao la Diego Maradona kuchuana vikali na US Lecce ambao kushinda mechi hii wamepewa ODS 7.44 kwa 1.34. Mara ya mwisho kukutana, Naples walishinda. Je leo hii wataendeleza moto wao pia?. Ingia www.meridianbet.co.tz na ubeti.
Huku Empoli wao ambao wapo nafasi ya 18 watamenyana dhidi ya AS Roma waliopo nafasi ya 6. Mechi ya mkondo wa kwanza walipokutana, Roma aliondoka na ushindi. Je leo hii mechi ya kumaliza ligi mwenyeji anaweza pata ushindi?. Suka jamvi lako hapa.
Bingwa mtetezi wa ligi Inter Milan yeye atamaliza ligi ugenini dhidi ya Hellas Verona mechi itakayopigwa majira ya saa 3:45 usiku. Meridianbet wamempa nafasi kubwa ya ushindi Inzagi kwa ODDS 1.45 kwa 6.07. Wewe unampa nani?. Tengeneza jamvi hapa.
CHAMPIONSHIP- PLAY OFF kupigwa leo majira ya saa 11:00 jioni kati ya Leeds United dhidi ya Southampton kumtafuta nani apande ligi kuu ya Uingereza yaani EPL na nani asaidi ligi daraja la kwanza. Mechi ya mwisho kukutana Soton alishinda na kwenye ligi walitofautina pointi 3 pekee. Mechi hii ina ODDS KUBWA 2.25 kwa 3.19. Beti sasa.
PORTUGAL CUP leo hii kutakuwa na mchezo wa kumtafuta mshindi wa kombe la Ureno kati ya FC Porto dhidi ya bingwa wa ligi Sporting CP. Mechi ya mwisho kwenye ligi wlaipokutana walitoshana nguvu. Je leo hii nani kuibuka bingwa wa kombe hilo kwa ODDS 2.99 na 2.26?. Tengeneza mkeka wako safi kabisa na meridianbet.
Ligi kuu ya Uturuki SUPER LIG pia inaenda kutamatika leo ambapo kuna timu zinataka ushindi zichukue kombe na zingine zinapamban kutoshuka daraja. Fenerbahce atamenyana dhidi ya Instanbulspor ambaye ndiye kibonde wa ligi. Mwenyeji ana ODDS 1.03 kwa 22.54. Mara ya mwisho kibonde alipasuka. Je nani kuibuka kidedea leo? Beti hapa.
Wakati huo huo Konyaspor yeye atamualika kwake Galatasaray Instanbul ambaye anahitaji sare tuu ili aweze kutawazwa kuwa bingwa. Mwenyeji ana ODDS 7.05 kwa 2.01 kushinda mechi hii. Je nani kushinda mechi hii ya kibabe?. Ingia na ubashiri hapa.
Kasimpasa ataumana dhidi ya Besiktas ambapo timu hizi hazijatofautina sana kwenye msimamo. Mwenyeji ni wa 7 na mgeni ni wa 5 wakati kwenye nafasi ya kushinda mechi akipewa mgeni kwa ODDS 2.31 kwa 2.50. Beti sasa.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...