KAMISHNA Jenerali wa Jeshi la Magereza, Mzee Ramadhani Nyamka ameondoka mapema Juni 9, 2024 kuelekea katika Mji wa Makka nchini Saudi Arabia kwenda kutekeleza ibada ya Hijja ambayo ni nguzo ya Tano katika Uislamu.Aidha, akiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwl. JK Nyerere, Terminal One amekutana na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zuberi, Sheikh Kizenga na aliyekuwa Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam, Sheikh Alhad Mussa ambaye wataambatana kwenda kutekeleza Ibada hiyo ya Hijja.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...