NA WILLIUM PAUL, MOSHI. 


MKUU wa Wilaya ya Moshi Zephania  Sumaye ametangaza siku 21 za moto za Oparation ya kukamata mitambo yote inayotengenzea pombe haramu ya gongo katika Wilaya hiyo.

Akizungumza katika baraza la Madiwani la Halmashauri ya Moshi Sumaye amesema vijana ambao ni nguvu kazi ya Taifa wameharibikiwa kutokana na unywaji wa pombe kupita kiasi.

Amesema kufuatia changamoto hiyo ametuma timu ambayo itafanya operation hiyo huku akiwataka madiwani kuunga mkono jitihada hizo za  kudhibiti unywaji wa pombe kupita kiasi kwa vijan


 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...