Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma (FCC) Roberta Feruzi akitoa elimu kuhusu (FCC) inavyofanyakazi kwa vijana waliotembelea Banda la (FCC) katika Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) yanayofanyika katika viwanja vya Julius Nyerere Barabara ya Kilwa, Temeke, jijini Dar es Salaam, kuanzia tarehe 28 Juni hadi 13 Julai, 2024, ambapo vijana hao wamepongeza watoa huduma kwa umahiri wao katika kutoa elimu kwa umm.
(PICHA NA EMMANUEL MASSAKA WA MICHUZI TV)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...