KAMPUNI inayosifika kwenye ubashiri ya Meridianbet imefanikiwa lurudisha kwenye jamii kwa mara nyingine tena na leo wamefika maeneo ya Mbagala Kingugi jijini Dar-es-salaam.
Zamu hii imekua ni Mbagala ambapo Meridianbet wamefanikiwa kufika kwenye familia yenye uhitaji kwelikweli na kutoa msaada, Ambapo wametoa msaada kwenye familia ya Mzee Yusuph Mdogwa ambaye ana ulemavu wa macho.
Familia ya mzee Yusuph ambayo ina uhitaji ilipokea ugeni wa Meridianbet ambapo walifika kwake na kumpatia msaada wa mahitaji mbalimbali ya nyumbani kama Mchele, Sukari, Sabuni, na mafuta ambayo yatamsaidia mzee huyo pamoja na familia.
Bashiri michezo mbalimbali ambayo imepewa ODDS BOMBA pale Meridianbet wikiendi hii Bila kusahau kucheza michezo ya Kasino uibuke mshinde wa Mamilioni
Mkuu wa kitengo cha Masoko na Mawasiliano Bi Nancy Ingram alipata nafasi ya kuzungumza machache katika tukio hilo “Kwanza kabisa niseme tu nimefurahi sana kuwepo eneo hilo na kukamilisha hili ambalo tumelifanya hapa kwa Mzee wetu kama taasisi tunajivunia kuendelea kurejesha kwenye jamii yetu haswa kwa wenye uhitaji”
Mzee Yusuph Mdogwa alipata nafasi ya kuzungumza na kutoa shukrani “Kiukweli kabisa nitoe shukrani zangu za dhati kwa Meridianbet ambao wameonesha moyo wa utu kwangu kwa kunipatia msaada, Lakini ningependa kuwaomba msiishie kwangu muweze kuendelea kuwaidia wengine wenye uhitaji”
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...