Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), CPA Pius A. Maneno akiwa na wafanyakazi wa Bodi hiyo kwenye Maonesho ya 48 ya Kimataifa ya Biashara (Sabasaba) yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), CPA Pius A. Maneno akisaini kitabu cha wageni kwenye Banda la Bodi hiyo lililopo ndani ya jengo la Wizara ya Fedha.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (​NBAA), CPA Pius A. Maneno (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na Afisa Uhusiano na Mawasiliano kutoka NBAA, Magreth Kageya (kushoto) na Afisa Masoko kutoka APC Hotel Conference Center Happy Sanga (kulia) mara baada ya kutembelea Banda la Kituo hicho cha Mikutano katika Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) yanayoendelea katika viwanja vya Julius Nyerere Barabara ya Kilwa, Temeke, jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (​NBAA), CPA Pius A. Maneno akipata maelezo kutoka kwa Afisa Mauzo na Masoko kutoka "Institute of Risk Management Tanzania" Ayoub Michael alipotembelea Banda lao lililopo katika jengo la Katavi kwenye maonesho ya Sabasaba.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (​NBAA), CPA Pius A. Maneno akiwa kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa "Institute of Risk Management Tanzania" katika maonesho ya Sabasaba yanayoendelea jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (​NBAA), CPA Pius A. Maneno akipokea zawadi kutoka kwa Afisa Mawasiliano Mwandamizi Chuo Kikuu Mzumbe, Fatna Mfalingundi alipotembelea Banda la Chuo hicho katika Maonesho ya 48 ya Kimataifa ya Biashara yanayondelea katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (​NBAA), CPA Pius A. Maneno akisikiliza maelezo kuhusu majukumu ya PSPTB kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Uhusiano kwa Umma (PSPTB), Shamim Mdee katika maonesho ya Sabasaba yanayoendelea Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), CPA Pius A. Maneno akisaini Kitabu katika Banda la Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) mara baada ya kupata ufafanuzi kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Uhusiano kwa Umma (PSPTB), Shamim Mdee  katika Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba).
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), CPA Pius A. Maneno akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkuu wa kitengo cha Uhusiano wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), Sarah Goroi kuhusu kozi mbalimbali zinazotolewa na Chuo hicho.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (​NBAA), CPA Pius A. Maneno akipata maelekezo kutoka kwa Meneja Masoko Mwandamizi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Andrew Punjila (kulia) kuhusu masuala ya Takwimu alipotembelea banda hilo kwenye jengo la Wizara ya Fedha.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (​NBAA), CPA Pius A. Maneno akisaini kitabu cha wageni alipotembelea banda la Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) ndani ya jengo la Wizara ya Fedha katika Maonesho ya 48 ya Kimataifa ya Biashara (Sabasaba).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...