Afisa Mkuu wa TEHAMA kutoka PSPTB Elihuruma Eliufoo akitoa maelezo kuhusu namna ya kujiunga na Bodi kwa wananchi waliofika katika Banda la Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) lililopo kwenye Banda la Wizara ya Fedha kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya 48 kwenye Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.

Afisa Elimu Mwandamizi kutoka PSPTB George Ngelime akitoa maelezo kwa wanafunzi wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) katika Banda la Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) lililopo kwenye Banda la Wizara ya Fedha kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya 48 kwenye Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.

Afisa Mkuu wa TEHAMA kutoka PSPTB Elihuruma Eliufoo akitoa maelezo kuhusu namna ya kufanya mitihani ya Bodi kwa wanafunzi waliofika katika Banda la Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) lililopo kwenye Banda la Wizara ya Fedha kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya 48 kwenye Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.

Afisa kutoka PSPTB, Vincent Mwaimu(kulia) akitoa elimu kwa wananchi walipotembelea Banda la Bodi na kusaini kitabu cha wageni katika Banda la Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) lililopo kwenye Banda la Wizara ya Fedha kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya 48 kwenye Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Uhusiano kwa Umma ( PSPTB), Shamim Mdee(kulia) akiwa na  Meneja Mawasiliano kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BOT) alipotembelea Banda la Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) lililopo kwenye Banda la Wizara ya Fedha kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya 48 kwenye Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Uhusiano kwa Umma ( PSPTB), Shamim Mdee(kulia) akimkabidhi zawadi ya kikombe Meneja Mawasiliano kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BOT) alipotembelea Banda la Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) lililopo kwenye Banda la Wizara ya Fedha kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya 48 kwenye Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa PSPTB wakiwa kwenye picha ya pamoja na wanafunzi wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) katika Banda la Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) lililopo kwenye Banda la Wizara ya Fedha kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya 48 kwenye Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) wakiwa kwenye picha ya pamoja wakati wa Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya 48 kwenye Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.

 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...