

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) akizungumza kabla ya kufungua Mkutano wa 15 wa Baraza hilo Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 29 Julai, 2024. 

Baadhi ya Mawaziri pamoja na Makatibu Wakuu waliohudhuria Mkutano wa 15 wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 29 Julai, 2024.

Baadhi ya Wakuu wa Mikoa waliohudhuria Mkutano wa 15 wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 29 Julai, 2024.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...