Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Mahafali ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Kozi ya 12 kwa mwaka 2023/2024, Kunduchi Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Julai, 2024.
. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Kunduchi Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Julai, 2024 kwa ajili ya kushiriki Mahafali ya Chuo hicho, Kozi ya 12 kwa mwaka 2023/2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisaini Kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Kunduchi Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Julai, 2024 kwa ajili ya kushiriki Mahafali ya Chuo hicho, Kozi ya 12 kwa mwaka 2023/2024.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...