*Sloti ya Sticky 777
SLOTI ya Sticky 777 inasifika kwa urahisi wake wa kucheza na washindi kila dakika, ni mchezo wa kasino ya mtandaoni uliotawaliwa na alama nyingi za matunda, ambazo hutumika kugawa ushindi kwa wachezaji.
Jisajili Meridianbet ili kufurahia mchezo huu rahisi kucheza na kushinda, pia ipo promosheni ya Expanse Tournament na Michezo kama Super Heli na Aviator inayotoa mapene kibao.
Alama kubwa zaidi kwenye sloti hii ya kasino ya mtandaoni ni Sticky 777 ambayo ina malipo makubwa kwenye mchezo wa kawaida wa kasino ya mtandaoni. Ukizipata alama za 3,4 &5 utapata Gurudumu la Bahati. Kasino ya mtandaoni inakupa faida mara 1000 ya dau lako.
Mchezo wa sloti ya Sticky 777 pia ina alama nyingine kama vile almasi, kengele na matunda kama vile tikiti maji, nanasi, limao na mengine mengi. Unaweza kupata ushindi mkubwa kama alama 3 au zaidi ya hizi zitakusanywa.
Katika mistari 10 ya malipo, unaweza kushinda almasi na kengele zenye thamani kubwa lakini pia, unaweza kushinda miti ya matunda maarufu.
Zungusha Gurudumu la Bahati ya kasino ya mtandaoni kwenye Sloti ya Sticky 777.
Sloti ya Sticky 777 ina uwezo wa kurudia kuzungusha gurudumu, sifa hii inatokea pale ambapo wilds mbili zitatokea kwenye reels. Baadhi ya bonasi za gurudumu la bahati zinapatikana katika mfumu huu; alama tatu zitakupeleka katika gurudumu la bahati la hatua ya kwanza ambapo utaweza kupata faida mara 50 zaidi ya dau lako.
Alama 4 zitakupeleka katika gurudumu la bahati la hatua ya 2 ambapo utaweza kupata faida mara 125 ya dau lako. Alama 5 zitakupeleka kwenye hatua ya 3 ambapo utaweza kupata faida mara 1000 zaidi ya dau lako.
Mchezaji ataweza kusogea kwenye hatua inayofuata endapo gudurumu litasimama likiwa na mishale katika hatua moja wapo kati ya hatua mbili. Kusonga mbele hakutoi zawadi ya pesa lakini ni mwanzo wa kusogea kwenye hatua zilizo na zawadi kubwa zaidi.
Kwa ujumla Sloti ya Sticky 777 kupitia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet ina machaguo mbalimbali. Unaweza kuchagua ubashiri/Gamble ili kuongeza ushindi wako mara mbili zaidi.
NB: Kubwa kuliko ni kwamba ukijisajili Meridianbet unazawadiwa mizunguko ya bure bonsai za kasino kucheza kasino ya mtandaoni, jisajili hapa. Wakati huo unaendelea kuvuna Maokoto na Bashiri za michezo mbalimbali ikiwa na odds kubwa.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...