Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt Damas Ndumbaro akizungumza na Wajumbe kujadili utekelezaji wa mkataba wa Kimataifa wa Kudhibiti matumizi ya ya dawa za kuongeza mbinu haramu michezoni. 
Katibu Mtendaji wa Tume ya Taifa ya UNESCO Profesa Hamis Malebo akiwa katika kikao cha Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt Damas Ndumbaro cha kujadili utekelezaji wa mkataba wa Kimataifa wa Kudhibiti matumizi ya dawa za kuongeza mbinu haramu michezoni.

*Ni Utekelezaji wa mkataba wa UNESCO

Na Mwandishi Wetu
WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Damas D. Ndumbaro (Mb) ameekutana na wajumbe katika kikao cha kujadili utekelezaji wa Mkataba wa Kimataifa wa Kudhibiti Matumizi ya dawa za kuongeza nguvu na mbinu haramu michezoni.

Kikao hicho kilijikita katika kilijadili kuhusu Utekelezaji wa mkataba huo wa UNESCO ambapo kwa upande wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Tume ya Taifa ya UNESCO inawajibika kuhakikisha kuwa Tanzania inauelewa vizuri mkataba ili iweze kutekeleza masuala yote yaliyoainishwa katika mkataba yenye maslahi mapana katika tasnia ya michezo.

Akizungumza katika mkutano huo amesema michezo inaheshima kubwa hivyo nahitaji kupewa thamani yake.

Kikao hicho cha Kitaifa cha Utekelezaji wa Mkataba wa Kimataifa wa Kudhibiti Dawa na Mbinu Haramu Michezoni.

Aidha katika katika kikoa hicho wajumbe Watathimini katika kujenga masuala michezo kusiwepo matumizi ya dawa za kuongeza mbinu haramu za kupata ushindi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...