RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj .Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Familia na Waumini wa Dini ya Kiislam katika Sala ya Maiti, ya marehemu Sheikh Yussuf Mohammed aliyekuwa Imamu Mkuu wa Msikiti wa Kwaboko Wilaya ya Mjini Unguja, ikiongozwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi,iliyofanyika leo 16-8-2024 baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa katika msikiti huo, (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Sheria,Katiba,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman .(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj .Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Familia na Waumini wa Dini ya Kiislam katika kuitikia dua ya kumuombea marehemu Sheikh Yussuf Mohammed aliyekuwa Imamu Mkuu wa Msikiti wa Kwaboko Wilaya ya Mjini Unguja, ikisomwa na Sheikh Abdallah Talib,baada ya kumalizika kwa Sala ya Maiti,iliyofanyika leo 16-8-2024 baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika msikiti huo.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk,.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kutowa mkono wa pole kwa Mtoto wa Marehemu Sheikh Yussuf Mohammed aliyekuwa Imamu Mkuu wa Msikiti wa Kwaboko Wilaya ya Mjini Unguja Ndg.Shaali Yussuf Mohamed,baada ya kumalizika kwa Sala ya Maiti na Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Msikiti wa Kwaboko leo 16-8-2024.(Picha na Ikulu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...