UEFA Champions League ligi ya mabingwa barani ulaya inaendelea kutimua vumbi tena usiku wa leo katika viwanja mbalimbali, Michezo kadhaa ya kibabe itapigwa ambapo unaweza kushinda kitita kizito kupitia michezo hii.

Meridianbet wao hawana baya wanaendelea kumwaga Odds nono kwenye michezo ya ligi ya mabingwa barani ulaya leo, Wakiwa wanarahisisha wewe kushinda mamilioni kwani Odds zikiwa nono na wewe ukiweka ubashiri unaibuka na kitita.

Klabu ya Arsenal kutoka nchini Uingereza wamesafiri mpaka nchini Italia kwenda kukabiliana na mabingwa michuano ya Europa msimu uliomalizika klabu ya Atalanta, Mchezo ambao unatarajiwa kua na mvuto wa hali ya juu.

Klabu ya Atletico Madrid leo watakua na kibarua kizito katika dimba lao la Wanda Metropolitano pale watakapokua wanamenyana na klabu ya Rb Leizpzig kutoka nchini Ujerumani, Hivo mchezo huu unaweza kukupa mkwanja wa kutosha.

Klabu ya Feyernoord mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Uholanzi watakua nyumbani kuwakaribisha mabingwa watetezi wa Ujerumani klabu ya Bayer Leverkusen, Mchezo ambao unatizamiwa kua wenye ushindani na wa kimbinu zaidi.

Klabu ya Barcelona ambayo iko kwenye fomu nzuri tangu msimu uanze chini ya kocha Hans Flick leo watakua nchini Ufaransa kama wageni kumenyana na klabu ya Monaco, Je Barcelona wataendeleza moto wao leo dhidi ya Monaco? Majibu yatapatikana baada ya dakika tisini.

Endelea kufurahia kubashiri na Meridianbet mabingwa wa michezo ya kubashiri ambao wanatoa ODDS BOMBA kuliko sehemu yeyote ile, Lakini pia machaguzi mengi zaidi ya 1000 Bashiri sasa michezo itakayopigwa wikiendi hii uweze kupiga mkwanja.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...