KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akizungumza kwenye mkutano wa ndani wa wanachama na viongozi wa CCM Wilaya ya Kahama, tarehe 10 Oktoba 2024, baada ya kupokelewa rasmi wilayani humo leo asubuhi, ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake ya kikazi Mkoa wa Shinyanga, ambayo leo imeingia siku ya pili. 

Balozi Nchimbi, ambaye ameambatana na Katibu wa NEC - Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Ndugu Amos Gabriel Makalla na Katibu wa NEC - Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Ndugu Rabia Hamid Abdalla, baadae jioni anatarajiwa kuzungumza na wananchi wa Kahama katika mkutano mkubwa wa hadhara, Uwanja wa Stendi Ndogo ya Malori, mjini Kahama.
















Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...