




Bi. Bupe Kalonge akitoa mada kwa wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kuhusu Udhibiti wa Msongo wa Mawazo wakati wa mafunzo hayo yaliyofanyika mkoani Dodoma.
Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakimsikiliza Naibu Wakili Mkuu wa Serikali Bi. Alice Mtulo wakati akifunga mafunzo kuhusu Udhibiti Msongo wa Mawazo, Maandalizi ya Kustaafu katika utumishi na Uongozi na Dhana ya Ujumuishi wa Anuai za Kijamii yaliyofanyika mkoani Dodoma.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...