Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Barabara ya Kaliua – Malagarasi - Ilunde sehemu ya Kazilambwa – Chagu (KM 36) katika kijiji cha Ugansa wakati akiwa ziarani mkoani Tabora tarehe 11 Oktoba 2024.






Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza na Wananchi wa Ugansa Wilaya ya Kaliua Mkoani Tabora mara baada ya kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Barabara ya Kaliua – Malagarasi - Ilunde sehemu ya Kazilambwa – Chagu (KM 36) wakati akiwa ziarani mkoani Tabora tarehe 11 Oktoba 2024.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...