Mgombea wa kiti cha urais wa Marekani kupitia chama cha Republican Donald Trump amepata ushindi katika majimbo mawili muhimu ya North Carolina na Georgia na kujiweka katika nafasi ya ushindi wa kiti hicho.

Hadi sasa Trump anaongoza kwa kura 67,341,630 (sawa na asilimia 51.2), wakati Kamala akiwa na kura 62,080,264 (sawa na asilimia 47.4) ya kura zote zilizohesabiwa hadi sasa.

Ili kutangazwa mshindi, lazima mgombea apate kura 270 za majimbo na hadi sasa Trump amepata kura za majimbo
248 na Kamala Harris akipata kura 214.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...