Mbunge wa Chalinze,Ridhiwani Kikwete na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Pwani Cde. Mwinshehe Mlao Tumenadi Wagombea wa Chama Cha Mapinduzi katika kata ya Bwilingu pamoja na kuendelea kuimarisha Chama kwa kuzindua mashina mapya Manne (4) ya wanachama wakereketwa katika kitongoji cha Bwilingu. Mapokezi ya Wananchi yanatoa ishara kuwa CCM itashinda kwa asilimia kubwa sana. #KaziInaendelea #KampeniMtaa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...