Mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet wameendelea kuhakikisha wanasaidia na kurudisha tabasamu kwa jamii kwa ambavyo wamefanya leo maeneo ya Ali Maua Tandale.

Kurudisha kwa jamii iliyowazunguka na yenye uhitaji imekua ni moja ya vipaumbele vikubwa sana kwa mabingwa hao wa michezo ya kubashiri, Kwani wamekua wakifanya hivo kwa miaka mingi sasa.

Meridianbet leo wamefanikiwa kutoa msaada kwa familia kadhaa zisizokua na uwezo katika eneo la Ali Maua jijini Dar-es-salaam, Ambapo wamefanikiwa kutoaa msaada wa vyakula kama Mafuta, Mchele, sukari, pamoja na Unga.

Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano Meridianbet Bi Nancy Ingram alipata wasaa wa kuzungumza machache kwenye hafla hiyo "Meridianbet siku zote inasimama pamoja na familia kama hizi, kwa kutambua umuhimu wa kushirikiana na jamii katika kutatua changamoto za msingi,"

Halikadhalika wakazi wa Ali Maua Tandale nao walifurahishwa kwa namna yake kutokana na msaada ambao Meridianbet wameutoa kwao, Kwani msaada huo wa vyakula utaweza kuwavusha katika wakati huu haswa kipindi hiki cha sikukuu ambapo vitu hupanda bei.

Endelea kufurahia kubashiri na Meridianbet mabingwa wa michezo ya kubashiri ambao wanatoa ODDS BOMBA kuliko mahala pengine, Lakini pia machaguzi mengi zaidi ya 1000 Bashiri sasa michezo itakayopigwa wikiendi hii uweze kupiga mkwanja.




























































































Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...