Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwaongoza Wajumbe wa Tume ya Mipango kusimama kwa dakika moja kutoa heshima kufuatia kifo cha aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Ndugu Lawrence Mafuru aliyefariki nchini India Novemba 9, 2024 alipokuwa akipatiwa matibabu, kabla ya kuanza kikao leo tarehe 11 Novemba, 2024 Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wajumbe wa Tume ya Mipango leo tarehe 11 Novemba, 2024 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...