Kampuni ya Serikali ya Twiga Minerals Corporation yenye ubia na kampuni ya Barrick katika kuendesha shughuli za uchimbaji wa dhahabu katika migodi ya North Mara, na Bulyanhulu imepata tuzo ya kuendesha shughuli zake kwa  katika kutekeleza sera  ya Local  content kwa viwango vya juu  kutoka kwa Wizara ya Madini nchini wakati wa hafla ya usiku wa madini iliyofanyika jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na wajumbe wa mkutano wa kimataifa wa uwekezaji katika madini unaoendelea nchini.Twiga na Barrick pia ndio wadhamini wakuu wa mkutano huu




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...