Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete (Mb) ameongozana na Kamati ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii kutembelea Viwanda kukagua kazi ya kusimamia Usalama Mahala Pa Kazi katika Viwanda vya Elsewedy kilichopo Kigamboni,Dar Es Salaam na Knauf kilichopo Mkuranga, Pwani. Kamati ya Bunge imeridhishwa na kazi nzuri inayofanywa. #KaziInaendelea
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...