Je wewe ni bingwa wa kucheza karata na umeshindikana mtaani kwako, unahisi hakuna anayekuwezea? Huu hapa mchongo mpya wa kutengeneza pesa nyingi huku unaburudika na kucheza karata zako kwenye mchezo wa kasino ya mtandaoni unaoitwa Casino Stud Poker.

Casino Stud Poker ni mchezo mubashara wa poker uliotengenezwa na waandaji wabobefu wa michezo mbalimbali ya kasino ya mtandaoni ‘Playtech‘. Katika mchezo huu, kombinisheni za ushindi zinatengenezwa pekee kutoka kwenye karata tano za kwanza ambazo zitakuwa mikononi mwako.

Casino Stud Poker ni mchezo unaohusisha mchezaji na muuzaji. Lengo la mchezo huu wa kasino ya mtandaoni ni kuwa na mkono wako imara kuliko wa muuzaji, ikitokea umefanikisha hilo basi ushindi ni wako na utalipwa kulingana na dau lako uliloweka.

Unaweza kuweka beti zako kwenye aina mbalimbali za beti, beti kuu kati yao ikiwa ni Ante. Ante ni beti inayohitajika na lazima ipigwe mwanzoni mwa kila mkono.

Unaendelea mchezo kwa kubonyeza kitufe cha Call. Unaweka beti zako muda mrefu kama kuna wakati unaendelea. Baada ya kuonyesha chaguo la No More Bets, hakuna tena wakati wa kuweka beti.

Unaweza kuongeza maradufu beti yako na kitufe cha X2, na unaweza kurudia mchezo na kitufe cha Rebet.

Baada ya kuweka beti zako kwenye beti ya msingi, unaweza pia kucheza kwenye beti mojawapo kati ya beti mbili za nje: 5+1 na Jakipoti.

Mchezeshaji atakupa karata tano na yeye mwenyewe. Karata zako zinaonekana wazi, wakati karata ya mchezeshaji ni wazi na karata zilizobaki zimeinama chini.

Hakuna karata za ziada kwenye ubao kama ilivyo katika matoleo mingine ya poker. Ili kushinda unapaswa karata zako mkononi zizidi za mchezeshaji wa mchezo wa kasino ya mtandaoni.

Ujaribu mchezo huu pendwa kabisa duniani kote Casino Stud Poker ili kujikusanyia maokoto ya kutosha huku ukiburudika na sauti nzuri za muziki.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...