Meneja Biashara na Masoko wa Vodacom Tanzania PLC Kanda ya Kati,Latifa Salum (kushoto) akimkabidhi zawadi ya begi mwanafunzi wa shule ya sekondari Mnadani, Swaibath Abdalah kwa kufanya vizuri kwenye mafunzo ya kuwajengea uwezo wanafunzi wa kike katika masomo ya Sayansi, Teknolojia, Uhandisi na Hisabati (STEM) kupitia programu ya Code like a Girl yaliyofanyika Chuo kikuu cha Udom Jijini Dodoma mwishoni mwa wiki kwa ufadhili wa kampuni ya Vodacom.
Meneja Biashara na Masoko wa Vodacom Tanzania PLC Kanda ya Kati,Latifa Salum (kushoto) akimkabidhi cheti mwanafunzi wa shule ya sekondari Mnadani, Salma Hassan kwa kushiriki na kufuzu mafunzo ya kuwajengea uwezo wanafunzi wa kike katika masomo ya Sayansi, Teknolojia, Uhandisi na Hisabati kupitia programu ya Code like a Girl yaliyofanyika Chuo kikuu cha Udom Jijini Dodoma mwishoni mwa wiki kwa ufadhili wa Vodacom.

Meneja Biashara na Masoko wa Vodacom Tanzania PLC Kanda ya Kati, Latifa Salum (kushoto) akimkabidhi cheti mwanafunzi kiziwi wa shule ya sekondari Nkuhungu, Helen Noah kwa kushiriki mafunzo ya kuwajengea uwezo wanafunzi wa kike katika masomo ya Sayansi, Teknolojia, Uhandisi na Hisabati (STEM) kupitia programu ya Code like a Girl yaliyofanyika Chuo kikuu cha Udom Jijini Dodoma mwishoni mwa wiki kwa ufadhili wa Vodacom.













Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...