Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Stanbic Tanzania, Bw. Manzi Rwegasira (kushoto), akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Bw. Abdulmajid Nsekela (kulia), wakati wa Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika 'Mission 300'  uliomalizika hivi karibuni katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, Dar es Salaam. Katikati ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Geita Gold Refinery, Bi. Sara Masasi.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Stanbic Tanzania, Bw. Manzi Rwegasira (wa tatu kutoka kulia), akihudhuria Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika 'Mission 300' uliomalizika hivi karibuni katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...