

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb) (Kulia), akiagana na Balozi wa Marekani nchini Tanzania aliyemaliza muda wake, Mhe. Michael Battle, baada ya kikao chao jijini Dodoma, ambapo pamoja na mambo mengine, Dkt. Nchemba alimshukuru kwa ushirikiano mzuri katika kipindi chote cha uongozi wake kwa kufanya kazi kwa karibu na Serikali kupitia miradi ya maendeleo na kumuomba aendelee kuwa balozi mzuri wa Tanzania hata baada ya hutimisha utumishi wake nchini.(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Dodoma)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...