NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV

Aliyekuwa kocha wa timu ya taifa ya Mali Eric Chelle amelamba dili kuiongoza timu ya taifa ya Nigeria “The Super Eagles “.

Chelle ambaye ni mzaliwa wa Abidjan nchini Ivory Coast, aliiongoza timu ya taifa ya Mali katika kipindi cha miaka miwili kuanzia 2022 hadi 2024 baad ya kutimuliwa kutokana na mwenendo mbaya wa timu hiyo.

Nyota huyo ambaye pia ameichezea timu ya Taifa ya Mali katika michezo mitano anatarajia kuiongoza The Super Eagles katika michezo ijayo ya kimataifa mwezi Machi mwaka huu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...