MTOTO REGNALDO SAMWELI MSUYA MIAKA( 16 ) ANATAFUTWA, INADAIWA ALIONDOKA NYUMBANI KWAO 15/12/2024 HADI SASA HAJULIKANI ALIPO.
NYUMBANI KWAO NI KINONDONI MTAA MWANANYAMALA KWA KOPA, DAR ES SALAAM. ANASOMA SHULE YA SECONDARY MAKUMBUSHO KIDATO CHA TATU.
KWA YOYOTE ATAKAYE MUONA TUNAOMBA ATOE TAARIFA KWANYE KITUO CHOCHOTE CHA
POLICE KILICHO KARIBU.
TAARIFA NAMBA YA POLISI NI MWJ/RB/1893/2024
AU KWA SIMU NAMBA HII 0782 136333
POLICE KILICHO KARIBU.
TAARIFA NAMBA YA POLISI NI MWJ/RB/1893/2024
AU KWA SIMU NAMBA HII 0782 136333
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...