Na Mwandishi wetu KATAVI

Kamati ya Usalama Mkoa wa Katavi imetakiwa kusikiliza vizuli na kwa weledi mafunzo yanayotolewa na wizara ya katiba na sheria na kuhakikisha wanayatumia kwa kutatua kero ,matatizo ,migogoro na mambo mbalimbali yanayohusu wananchi kwenye maeneo yao

Wito huo umetolewa na  Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mwamvua Mrindoko wakati akifungua mafunzo hayo yaliyofanyika mpanda katika ukumbi wa mkuu wa mkoa

Ameeleza kuwa mafuzo hayo yamekuja wakati muhafaka kwasababu yatamuongezea kila mmoja uwelewa Zaidi wa namna gani ya kusimamia wananchi ,kuongoza na kusimamia watumishi na viongozi ndani ya vyombo hivyo vya dola katika kuimarisha uzingatiwaji misingi wa utawala bora ,haki za binadamu Pamoja  na usalama ndani ya mkoa huo  

"elimu tutakayopata hapa leo ninaamini kabisa itasaidia kwenda kutoa elimu Zaidi kwa wananchi Pamoja na kwamba kila chombo hapa kinaendelea kutoa elimu kwa wananchi kuhusiana na mambo ya uvunjifu wa maadili masuala ya kujichukilia sheria mkononi ,mauaji Pamoja na mila potofu"

“Mapato hayo ni ongezeko la asilimia 21.8 ukilinganisha na 2022/2023 ambapo kiasi cha Shilingi 337,424,076,896.29 zilikusanywa,”amesema Msigwa

Aidha, katika mwaka wa fedha 2024/2025 Serikali kupitia TANAPA lilikadiria kukusanya kiasi cha Shilingi bilioni 430,864,198,480, ambapo katika kipindi cha miezi sita Julai hadi Disemba 2024 Shirika limekusanya kiasi cha Shilingi bilioni 325,146,978,076.63 sawa na asilimia 75.5 ya malengo ya makusanyo ya mwaka.





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...