Meneja mauzo wa Vodacom Tanzania Plc Mkoa wa Pwani Suleiman Amri (katikati) akiweka mafuta yaliyotolewa bure kwa wateja wa kampuni hiyo jijini Dar es Salaam kwenye gari ya Ramadhan Kalafya(kushoto) Ikiwa ni mwisho wa kampeni yao ya kurudisha tabasamu kwa wateja katika msimu wa sikukuu inayoitwa ‘Shangwe popote ukiwa na M-Pesa.

Msimamizi wa mauzo kutoka Vodacom Tanzania Plc Mkoa wa Dar es Salaam Neema Lucas (katikati) akiweka mafuta yaliyotolewa bure kwa wateja wa kampuni hiyo jijini Dar es Salaam kwenye gari ya John John (kushoto) Ikiwa ni mwisho wa kampeni yao ya kurudisha tabasamu kwa wateja katika msimu wa sikukuu inayoitwa ‘Shangwe popote ukiwa na M-Pesa.



Msimamizi mauzo kutoka Vodacom Tanzania Plc Mkoa wa Dar es Salaam Nakiete Mshana (kulia) akiweka mafuta yaliyotolewa bure kwa wateja wa kampuni hiyo jijini Dar es Salaam kwenye gari ya Beatrice Msofero (katikati) Ikiwa ni mwisho wa kampeni yao ya kurudisha tabasamu kwa wateja katika msimu wa sikukuu inayoitwa ‘Shangwe popote ukiwa na M-Pesa.



Msimamizi wa mauzo kutoka Vodacom Tanzania Plc Mkoa wa Dar es Salaam Mishi Bakari (kulia) akiweka mafuta yaliyotolewa bure kwa wateja wa kampuni hiyo jijini Dar es Salaam kwenye pikipiki ya Daud Neto(katikati) Ikiwa ni mwisho wa kampeni yao ya kurudisha tabasamu kwa wateja katika msimu wa sikukuu inayoitwa ‘Shangwe popote ukiwa na M-Pesa.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...