Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Januari 14, 2025 amefanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Japan, Mheshimiwa Fujii Hisayuki (kulia kwake) na ujumbe aliofuatana nao kwenye ukumbi wa Mikutano wa Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam.
Katika mazungumzo yao, Waziri Mkuu amemweleza Mheshimiwa Fujii kuwa Tanzania imeendelea kuweka mazingira rafiki ya kufanya uwekezaji ambayo yanawawezesha wawekezaji kunufaika na shughuli zao.

Katika mazungumzo yao, Waziri Mkuu amemweleza Mheshimiwa Fujii kuwa Tanzania imeendelea kuweka mazingira rafiki ya kufanya uwekezaji ambayo yanawawezesha wawekezaji kunufaika na shughuli zao.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...